Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila mapema leo, amefika eneo la mgogoro wa nyumba ya Mama mjane Block D Kunduchi Wilaya ya Kinondoni na ameagiza kuundwa kamati maalumu chini ya ofisi yake.
Taifa la Burkina Faso, limesema limekatiza njama ya kumuua kiongozi wa kijeshi Kapteni Ibrahim Traoré. Mpango huo ulikuwa ...
Mbunge wa Jimbo la Moshi, Ibrahimu Shayo, amesema atatoa ufadhili wa masomo kwa watoto 10 kila mwaka katika Chuo cha Mafunzo ...
Serikali imepiga marufuku wahudumu wa afya na madaktari nchini, kutumia lugha za kuudhi au kukera wagonjwa, pindi wanapofuata ...
Chama cha NLD kimefanya kikao maalum cha tathimini ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, kwa lengo la kutathmini ...
Mhasham Baba Askofu wa Katoliki Jimbo Morogoro SDC, Lazarius Vitalis Msimbe, amewataka wazazi kushirikiana na mashemasi ...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amesema wamejipanga kujibu ...
Wanaharakati wa masuala ya amani na uzalendo wameiomba serikali pamoja na wananchi wapenda amani, kushika mkono juhudi zao za ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, amewataka wamiliki wa viwanda na maeneo mengine ya ...
Ratiba ya Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2025, imethibitishwa, huku timu vigogo vya soka la ...
Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGHWU), kimesema moja ya mikakati yake mwaka 2026 ni pamoja na kila halmashauri kuwa na mradi wa wanawake ambao watakuwa wanausimamia wenyewe. Akizungumza ...
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro, amewataka wazazi na walezi kuhakikisha watoto wote wenye sifa za kupelekwa shule ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results