HAROUB Evody ndiye aliyekuwa shujaa kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 kati ya wenyeji Simba na Mtibwa Sugar kwa kukabidhiwa tuzo ya mchezaji bora baada ya dakika 90 kutamatika.
MSHAMBULIAJI Kibu Denis aliyekuwa Simba aliyelamba dili la kujiunga na Al Nasr Benghazi ya Libya ameshindwa kujizuia wakati ...
WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajiwa kuondoka leo Alhamisi kwenda Zanzibar kwa ajili ya mechi ya mwisho ya Kundi B ya Ligi ya Mabingwa Afrika ya kuamua hatma ya kutinga robo fainali, nyota mpya wa ...
Iwapo Al Ahly na ASFAR watatoka sare, Yanga wataondolewa moja kwa moja katika michuano hiyo ikiwa ni mara ya pili mfululizo ...
KOCHA, Thomas Frank amefutwa kazi ya kuinoa Tottenham Hotpur kutokana na kikosi hicho kupata matokeo ya hovyo.
WIKI hii moja ya habari kubwa katika medani ya soka, ni magwiji wa soka barani Ulaya, Real Madrid kuhusishwa kumnyakua kocha Mjerumani Jurgen Klopp wakati wa majira ya kiangazi.
HABIKI mwenye nywele nyingi wa Manchester United, Frank Illett amebaki hana la kusema huku akisubiri karibu siku 500 kukata ...
MABAO mawili aliyofunga mchezaji wa Coastal Union, Bakari Msimu, katika ushindi wa timu hiyo wa 4-1, dhidi ya maafande wa ...
MASTAA wa Real Madrid walikutana kwa ajili ya kupata chakula cha jioni kuweka makubaliano kitu gani cha kufanya kipindi ...
LIGI ya Championship inazidi kuchanja mbuga ikiingia hatua ya lala salama, huku vita kubwa ikiwa ni kupanda daraja kwenda ...
Benjamin Sesko ameibuka shujaa wa Manchester United usiku wa jana baada ya kufunga bao la kusawazisha katika dakika za ...
SIKU mbili baada ya rapa Bad Bunny kutumbuiza katika onyesho la Super Bowl, wabunge wa Chama cha Republican wanataka shoo ...