Serikali ya Rais Donald Trump inapunguza idadi ya maafisa wa uhamiaji huko Minnesota baada ya jimbo hilo na maafisa wa jimbo ...
Meya wa Minneapolis Jacob Frey amesema baadhi ya maafisa wa uhamiaji wa Marekani wataondoka mjini humo baada ya mazungumzo ya ...
Kigali imetangaza wiki hii kwamba imeanzisha kesi mbele ya Mahakama ya Kudumu ya Usuluhishi huko Hague, ikidai ukiukaji wa ...
Maandamano makubwa ya kupinga uhamiaji yamefanyika jijini London nchini Unigereza Septemba 13, na kufanya zaidi ya wiki moja ya maandamano kote nchini humo. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya ...
Mikutano ya ngazi ya juu ya siku tatu mfululizo imeanza Jumatano huko Brussels, nchini Ubelgiji. Kabla ya mkutano wa kilele wa Alhamisi wa Umoja wa Ulaya na mkutano wa Ijumaa wa Muungano wa Waojitolea ...
Serikali ya Tanzania imethibitisha kuwa imeanza mashauriano rasmi na Serikali ya Marekani kuhusu masuala ya uhamiaji ambayo yanaweza kuathiri uwezo wa raia wa Tanzania kuingia nchini humo. Hilo ...
Utawala wa mamlaka ya uhamiaji wa Australia unachunguzwa na Umoja wa Mataifa wiki hii. Kikundi Kazi cha U-N juu ya Kuzuia Kiholela uhuru kinachunguza jinsi nchi hiyo inavyonyima watu uhuru wao - ...