Luiza Nyoni Mbutu ni mama na mke - anajulikana sana pia kama Mwanamuziki na mwanadensi nchini Tanzania , akiwa ni mmojawapo wa wanawake waliodumu sana kwenye fani hii kwa miaka mingi . Luiza ...
Jina la Stella Joel mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania , limepata umaarufu mkubwa nchini humo mapema mwaka huu mara tu baada ya mwanamuziki huyo kufunga ndoa na mume wake Dr. Frank Richard.