Muigizaji Al Pacino alimkaribisha mtoto wake wa nne akiwa na umri wa miaka 83 mwaka jana na mpenzi wake, Noor Alfallah mwenye umri wa miaka 29. Amejiunga na klabu ya baba wenye umri mkubwa na nyota ...
Kwa miaka mia tano iliyopita, wanaume katika kisiwa kidogo huko Peru wamekuwa wakijaribu kuvutia wenzi wao kwa kufuma kofia za Andes zilizopambwa. Kwenye kisiwa kidogo cha Taquile huko Peru, sifa ya ...
Mwanaume alietuhumiwa kwa kujaribu kumuua kiongozi wa Mali Assimi Goita, mtu aliehusika na mapinduzi mawili katika muda wa chini ya mwaka mmoja, amefariki akiwa ...